Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

Bodi ya Tumbaku Tanzania

Matangazo


Mkutano wa tathmini ya zao mwaka 2025


Bodi ya Tumbaku Tanzania inawataarifu wadau wote wa tumbaku na umma kuwa mkutano wa tathmini ya zao kwa mwaka 2025 utafanyika Mbeya kuanzia tarehe 23 Aprili 2025 hadi 25 Aprili 2025. Ada ya ushiriki kwa kila mtu itakuwa Tsh. 200,000/=. Mtu yeyote anayetaka kuhudhuria mkutano huu anatakiwa kujiandikisha kupitia tovuti hii: https://tsms.gov.go.tz