Kanusho
Taarifa zilizopo kwenye tovuti hii zinatolewa na Bodi ya Tumbaku Tanzania (TTB) kwa madhumuni ya taarifa za jumla pekee. Ingawa jitihada hufanyika kuhakikisha usahihi na uhalisia wa taarifa, TTB haitoi dhamana wala uwakilishi wowote, wa moja kwa moja au wa kudokezwa, kuhusu ukamilifu, na utegemezi wa taarifa kwa matumizi yoyote maalum.
TTB haitawajibika kwa hasara, madhara au usumbufu wowote utokanao na utegemezi wa taarifa zilizopo kwenye tovuti hii. Viungo vya tovuti za nje vinatolewa kwa madhumuni ya marejeo pekee na haimaanishi kuidhinishwa na TTB, wala TTB haina uwajibikaji kwa maudhui yake.
Watumiaji wanashauriwa kuthibitisha taarifa zote za kisheria na za kikanuni kupitia mawasiliano rasmi ya TTB au machapisho rasmi ya Serikali, kwani sheria, sera na kanuni zinaweza kubadilika bila taarifa ya awali.
Matumizi ya tovuti hii inamaanisha kukubali masharti haya na ni kwa hatari ya mtumiaji mwenyewe.