Isipokuwa mkoa wa Ruvuma, ambao unazalisha tumbaku ya moshi (DFC), mikoa yote iliyobaki inazalisha tumbaku ya mvuke (VFC). Morogoro kwa sasa inazalisha tumbaku ya mvuke (VFC) katika wilaya ya Kilosa (Kimamba, Msowero na Kidonga) na Ulanga. Kwa muhtasari tumbaku inazalishwa katika maeneo yafuatayo kama inavyoonyeshwa hapa chini: -

Mkoa wa Kiserikali

Mkoa wa Kitumbaku

Wilaya ya Kiserikali

Aina ya Tumbaku Inayolimwa

Tabora
Tabora
Tabora Tumbaku ya Mvuke
Uyui Tumbaku ya Mvuke
Nzega Tumbaku ya Mvuke
Urambo Urambo Tumbaku ya Mvuke
Kaliua Kaliua Tumbaku ya Mvuke
Sikonge Sikonge Tumbaku ya Mvuke
Singida Manyoni Tumbaku ya Mvuke
Katavi
Mpanda
Mpanda Tumbaku ya Mvuke
Mlele Tumbaku ya Mvuke
Tanganyika Tumbaku ya Mvuke
Shinyanga Kahama Kahama Tumbaku ya Mvuke
Kagera Biharamulo Tumbaku ya Mvuke
Geita
Geita Tumbaku ya Mvuke
Chato Tumbaku ya Mvuke
Bongwe Tumbaku ya Mvuke
Bukombe Tumbaku ya Mvuke
Mara
serengeti Tumbaku ya Mvuke
Tarime Tumbaku ya Mvuke
Rorya Tumbaku ya Mvuke
Iringa Iringa
Iringa Tumbaku ya Mvuke
Mfindi Tumbaku ya Mvuke
Mbeya Chunya Chunya Tumbaku ya Mvuke
Songwe Songwe Tumbaku ya Mvuke
Kigoma Kigoma Kasulu Tumbaku ya Mvuke
Kakonko Tumbaku ya Mvuke
Kibondo Tumbaku ya Mvuke
Uvinza Tumbaku ya Mvuke
Ruvuma Songea Songea Vijijini Tumbaku ya Moshi
Namtumbo Tumbaku ya Moshi
Mbinga Tumbaku ya Moshi
Tunduru Tumbaku ya Moshi
Morogoro Morogoro Kilosa Tumbaku ya Mvuke