Habari
Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe akabidhi hundi ya Tsh. Bilioni 13 kwa TCJE ikiwa ni ruzuku ya pembejeo za zao la tumbaku

Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe akabidhi hundi ya Tsh. Bilioni 13 kwa TCJE ikiwa ni ruzuku ya pembejeo za zao la tumbaku.
Makabidhiano hayo yamefanyika katika ofisi za Kilimo IV zilizopo jijini Dodoma. Hafla ya makabidhiano hayo imehudhuriwa na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Tumba Bw. Stanley Mnozya, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mbolea Tanzania (TFC) na watendaji waandamizi kutoka wizara ya kilimo.